How do they do it

It has been happening since nikuwe mtoi . nikiskia kwa radio I mean cattle rustling . the part that always amazes me Ni pokots attack the turkana and steal 10, 000 heads of cattle kama Jana .

My question is how do they disappear with all those animals mpaka polisi nor the turkanas can’t get to them , ngombe hukimbia mbio through the forests Ama na sometimes Ni mixture ya all animals mpaka sungura .

Coz hata tuseme wafike pale home ground kapedo wanagawana aje , na wanaficha wapi , nanok na lonyagapuo na munyes hawako kwa mix ? . how comes gava haijawai pata solution in the 22nd century .

Ile time waliiba na wakauwa polisi 49 baragoi yaani hakuna kitu walifanywa ?

@Tarantinoh
@Budspencer
@Abba
@Panyaste kibet
@123tokambio

as senior turkana warriors and afisas of the armed forces munasemaje leteni breakdown

Go and watch cowboy movies especially the older ones zenye zina red indians. See how the red indians steal herds of cattle from cowboys. They surround the cows from the sides and behind as they scream war songs na ngombe zinatoka mbio. Same way cattle rustlers do in Kenya bt difference is that they are on foot. Kuna nduru(War cries) wao utoa wakiwa na mkuki juu that only the cows understand and wanajua ni kunoma so they run as fast as they can

njiru ,kiamaiko,ndagoriti and others. Where do they source the cows , goats and sheeps
ever counted the no.of lorries carrying these animals along Thika road !

They can hide inside the herd and use them as shield. Then shoot from there

Every herd has its leader, an alpha male that is always yapped around here by boys living in bedsitters in Paipu, the rustlers first duty is to identify it, using a very sharp prod stick, pierce the point where the body and tail of the bull joins(the most painful part according to some). With the prod stick, the herd will gallop like wild horses at maybe 40km/h, the usual Reporting delays and terrain will have the first responders at the scene 2-3 hours after the fact. Did you know that the media never reports about recovered stock, which is always around 70% in North Rift (maybe it’s not newsworthy like rustling).

Si kwa hii group kuna cattle rustler…mwenye waliiba ugali moto na kushow Huyo mathe anyamaze. Then wakafanya mtoto wa shule akimbie 10 km:D:D…ajitokeze atwambie venye hao hufanya

So is it organized crime and where do they end up

Kwanza wakale naskia hupita na ngombe zenyu vifiam . munakunja mkia

Leta link khasia @Ice_Cube nichekee hii ngware.

wewe when pokot steal hairudingi

:D:D:D:Dhiyo ilikuwa tu hekaya niliambiwa by a true cattle rustler.

shemeji wacha nikuelezee as a former sf commando,wao hujingawanya vikundi tatu,kuna wale wakushika doria,wale waku round up mifugo na kupotea nayo na kuna wale wa ambush ,hao huwa wameachwa huko msituni raia ama polisi wakiamua kufuata kinaeleweka na terrains ni kali sana juu ni valleys

Kumbe umejitokeza:D:D:D:D…that hekaya is hilarious… I remembere the guy was a watchman at the tym.

@

Pokot cattle rustlers. - Hekaya - Kenya Talk @Wechez ndio hiyo.

I am writing a movie script on castle rustling and you will soon see it kwa HD movie pale Netflix. It will be the first time the world will see how it is done in the rugged terrains of the northern frontier.

Once got a pokot friend to give me the details. Dude was like, hua hatuibi. Tunaombanga tu tunatumia kidogo alafu wakikaakaa pia wao wanakuja wanaomba watumie

Must they kill people"wakiomba’?

:D:D:D:D:D

So let’s say D material are just afraid of the snipers hiding amongst the cows.

Lakini mi huona hizo ngombe zao ni mjinga due to nurture ngombe ukichukua kwa mtu itarudi huko for sometime hadi izoee kwako