House husband

This is to those ladies whose husbands are jobless,how do you feel struggling alone to feed ur kids plus ur man? Yaani kazi ya this guy ni kukaa kwa hao na maid Na mtoto/watoto…wewe ni kulipa all bills ,do you sometimes feel mad at heart ama unamlisha tu ukiwa joyous? Hello.

I had the same issue too…nlifuta maid…wakikulana mchana nawe umeenda kuwataftia???futa maid.

Perpetua Perpetua what’s there to feel bad for? we give birth, look after him and the kids and still make a home. We are born nurtures. Wao wakishinda kwa nyumba they do nothing.

I cant unless am fucking his dad …bro or any other rich guy outside alafu no sex with him hakuna kuma ya bure aiii

Mbona maid ? Kama ashinda kwa nyumba afanye kazi ya nyumba yote.

wewe ni kama hujui wanaume vizuri huwa unawasikia tu!
Not in this generation my fren,akipata doo ndio utajua hujui
ngoja mwanaume aomoke ndio ujue true colours zake ,unless ulizaliwa jana!

Futa maid wanakaa huko wawili wakido…wacha apambane nakazi za nyumba ndio akuwe na morale yakutafuta job haraka

Shuka hiyo gari…utalia

Mimi I did it with good heart but vile alipata job he kicked me out pamoja na mimba yangu

Kuna my neiba hushinda home most times na mboch…na vile in tall,dark and handsome naskianga kumfuga kwangu pia

We Lea panya tu

men were created to provide not vice versa,umlishe ,umvilalishe ,utombwe ,uzalishwe labda utoke uko maternity kama uko hai ama mfu,urudi umtafutie tena umlishe aendelee kukutomba Tu !aiii mwanaume ni kuhustle hata kama ni kuzunguka akiuza viberiti!for ladies its soo different ,yes you will be jobless in that house akiprovide but unamzalia ,unachunga watoto wake ladies multitask you can be baby sitting still doing other chores !Mimi nitoke kwetu niishi life kama hiyo Juu ya pipe ya mkojo!wacha ikae!ngoja siku ataomoka !hao huwa hawakumbuki penye walitoka !utashangaa!unless ulizaliwa Jana wewe ni Mgeni duniani!

Some people are crazy here you write apost and start replying to it it .

Nini unakunywa @TrumanCapote we join you…?..it’s been along time since I have been that high…

Fanya ivi awe maid ufukuze hyo maid

@janjaweeds amenipea cookies.

Yes. I am copy pasting from a women’s group. For entertainment. I’m not looking for any comments from you

Msinikumbushe ulcers zitarudi

Mimi hakuna mwanaume nitalisha kama ni mboro wacha kifungane

Never ever nimewai try n it ended in premium tears

What of that one who works far always broke and the wife sustains herself from rent to paying mboch …na incase the so called husbandae comes to visit hata lollipop ya mtoto hakuna .

Na sisi wenye tunafanya job,na yeye anafanya job pia,na pesa yako ndo anafuatilia ulya kulipa rent nayo?yaani haezi acha you save akijua ukona kakitu

How now!!!labda niwe nimerogwa

Nilikukataza Mambo ya kuchart tukiwa confrence ona Sasa vitu unafanya

i was once in that situation wee nlijikanya

Mm siwezi na sio kwa ubaya.not unless uko crippled or bedridden but kama uko na nguvu ya kukula na kupekejeng my friend tafuta kazi ata kama ni mjei ama uende kwanza ukae na ur mum kidogo hadi oportunity nzuri yenye unangoja itokee.