https://twitter.com/georgediano/status/2013586052792074401?s=20
Saa hii kuwa entrepreneur na hii uchumi ni shortcut ya diabetes na hypertension. Leo kumekuwa na game mbili hatari za champions league but sales mbele na nyuma ni 15k since morning. Hata wasee wamekuja kuwatch game wamecheza na soda pekee. Msee mmoja ndio amemeza Whitecap mbili. Game imeisha kama nimewachilia staff wangu wote except soja na wasee wa cleaning.
1 Like
Ongeza rooms na lanye