Hot Updates: Luxury buses in Tanzania

Introduction

Tanzania Bus Transport Regulation

1.ORDINARY BUS (DARAJA LA KAWAIDA)
1.seats mbili upande mmoja na tatu upande mwingine
2.hakuna A/C
3.Hakuna huduma ya choo
4.Hakuna huduma ya vitafunwa na vinywaji laini
5.Hakuna mpangilio mzuri wa muda wa kuondoka na kufika
6.Hakuna mapazia
7. TV chini ya tatu

2.SEMI-LUXURY BUS (DARAJA LA KATI)
1.Mpangilio wa seats ni wa mbili kwa mbili
2.Ndani lazima kuwe kuna A/C
3.Huduma ya vinywaji laini na vitafunwa
4.Mpangilio na ufuatiliaji wa muda wa kuondoka na kufika
5.Mapazia safi katika madirisha
6. TV kuanzia NNE na kuendelea
7.Wahudumu nadhifu

3.LUXURY BUS (DARAJA LA KWANZA)
1.Mpangilio wa seats ni mbili kwa mbili au moja kwa mbili
2.Lazima kuwe na A/C
3.Huduma za vinywaji laini na vitafunwa muda wote
4.Uzingatiaji wa muda wa kufika na kuondoka
5.Mapazia safi muda na wakati wote wa safari
6. TV zaidi ya tano / kila seat
7.Mwendo mzuri na wa kistaarabu.
8.Wahudumu nadhifu muda wote wa safari
9.Huduma ya choo ndani ya basi pia bafu ikiwezekana.
10.Seats za kulala na nafasi ya kutosha kunyoosha miguu.
11.Huduma za ziada au binafsi ( basi kusimama njiani kwaajiri ya kufurahia hali ya hewa ya nje na mazingira mf.kitonga n.k)

BM Coach From Dar to Arusha Luxury Bus

Bus fares across the country are managed by LATRA ( Land Transport Regulatory Authority)

Lazima uje uchokoze WaKenya ndio upate Validashen. KENYA is the SI Units za kupima East Africa. Ndio Yardstick

TZ is still an LDC Sh!thole 17.5 Years behind Kenya.

1 Like

Don’t be angry boy. This is just news. Or do you not want to get news from other countries? Do you want to lock yourself in Kibera? :rofl: :rofl: :rofl: :rofl:

League yenyu washenzi ni akina Malawi na Mozambique, sio Kenya.

SOMA HIYO MAP NA CHART HAPO JUU. WE ARE NOT YOUR PEERS. TV YA UMA MLIPATA 2002, VITAMBULISHO NA HATI ZA MASHAMBA MLIZIPATA MAJUZI. CCM IMEWAKABA KOO FOR DECADES

Hizo story za 2015 before Magufuli.

Kilimanjaro Express

KATARAMA LUXURY

Super Feo Express

Look at that shipping map. Some ships prefer Mombasa then go to dar. Build a port

Pia kuna satellite map ya electricity around the world at night

Maandamano ikiingiana tuchukue uongozi, hamtuoni budaa. They steal too much.

If they steal as much in tz you will become Burundi in a day

Here we are talking about buses. What hurts you? :rofl: :rofl: :rofl:
Selous Express

The buses that transport people and goods through which port? Include Mombasa to your answer

Shida ya kiti Moja hawezi finger dem

CIVITO EXPRESS Tanzania is hot hot

Buses here in Tanzania transport people and not cargo. :rofl: :rofl: :rofl: :rofl:

They have cargo spaces under passenger seats. Hahaha. That’s big business, including exchanges to Nairobi and Nairobi to Tz, LMAOO

Here in Tanzania in buses we only transport packages and not cargo.

SAULI LUXURY BUS

SHABIBY LINE

𝗡𝗔𝗖𝗛𝗔𝗥𝗢 𝗥𝗢𝗬𝗔𝗟