Hombrecito Kutafuta shida na tochi

[MEDIA=facebook]id=514347632258033;type=video;user=AmazoniadelEcuador[/MEDIA]

:eek:bangi sio ya nyamira pekee

:Dnyasore si managu

:D:D:D
That snake is huge

Wawawa. Alafu si imetoka kula a pig sized animal hapo vile imeshiba.

wakona bahati imemeza mnyama, kama ingekuwa na njaa wangekiona cha mtema kuni