Homabay Chronicles Part 3...

Ndio hiyo part one and two…

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/homabay-chronicles.76889/page-2#post-1606090
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/homabay-chronicles-part-2.76892/page-2#post-1607892

After Jemo kutoroka kutoka the sleazy lodging, tulitoa gari na kuipeleka kando ya lake ioshwe. Huku tukitafuta mahali Jemo anaweza tafuta soup na kakitu atoe lock. The purpose ya kuosha gari asubuhi ilikuwa two pronged. Kwanza ilikuwa chafu so kutoharibia shirika jina rules zolokuwa zinasema mkienda meeting, gari iwe safi. Pili, ilkuwa kupunguza likelihood ya swara yeyote incase ilikuwa imefanyiwa mambo. Kumaliza since we had taken some perdiem tulitafuta hotel ya kulala na Jemo aoge (we settled for twin towers, a relatively comfortable establishment and located within the town.
Tulimaliza by 12.00 noon we hit the road. Visited a partner at some place called Ndhiwa and were done by 4.00pm . By 5,00 tulikuwa tumerudi homabay tukaanza kujiuliza form ya jioni ni gani. Jemo naye anateta wife hamuongeleshi amebeba blue balls. Gari nayo gauge inaonyesha mafuta iko chini… Kumbe ni shetani anataka kututembelea… We had a Total Bon-voyagefuel card, hapo collective reasoning ikawa, twende tujaze tank, incase wife wa Jemo a change mind, Jemo anaweza jikata aende asafishe rungu.
Vile tuliingia petrol station, tukakutana na gari ingine ya ka-NGO kengine imetoka Nairobi pia inawekwa mafuta. Ile tu salamu polite hivi… Tukakuta ni madem watatu wako nayo hapo ufisi ya Jemo ishaanza ku-kick in… Fisi-code 101 one should leave no (nice looking) skirt unturned… Hapo mmoja ashaanza kusmile smile direction yetu. Hapo na mimi nikaanza kuchocha Jemo afanye mambo, kama anaona hawezi, achukue number alete throughpass. Kidogo kidogo kuuliza wakasema wako Homabay field visit, hadi Friday. Yule wa kusmile ni wa kutoka HQ wengine ni wa local program. Kujifanya jifanya… Fisi isha-isolate prey… The one from Nairobi alikuwa analala in a hotel in town na vile walikuwa wamemaliza job alikuwa anatafuta form ya jioni. Hapo na hapo kukaivania Jemo. Naye Dem akadismiss wenzake pretending that she has known as all along- one of the previlleges za kutoka HQ ni ile you can always run your schedules bila maswali mingi.
So off we went to our hotel for a cup of tea tukiuliza mahali tutakula supper. The place being Jemo’s homeground he knew some nice places where we could have coffee later dinner. So off we went tukaketi in some makuti restaurant na kila mtu akaagiza. The lady akaitisha kahawa, mimi chai na Jemo kawaida Guiness kubwa. In his heart Jemo alikuwa anashukuru mungu kwa sababu kama huyu dem anahepa wine/smirnoff it will be easier on the pocket…
Fast forward supper ni kuwekelea samaki na ugali watu tukashiba… kahawa, chai na GK nazi zikaendelea kuja tukipiga story, naye Jemo akakafunga… mimi naye nilikuwa nimechoka kuzunguka kurarua kunguru the previous day were taking a toll on me… nikaanza kuwaambia I need to call it an early night na kuwaambia kama kuna vile wanaweza kunipeleka kwa hotel ndio nijiwekelee. Jemo naye akauliza the kunguru if she was game they could go out and dance somewhere since he felt he needed to unwind. Kunguru naye akasema hana hara ka but if it was ok with me, tungempitisha kwa hotel yake akabadilishe nguo then they could drop me off… by then walikuwa waeanza kuguzana guzana discreetly … Hapo nikajua form ya Jemo imeivana asipoangusha hii kunguru, basi the devil is aliar.
Sisi hao hadi hotel ya kunguru, hapo in coded language naambia jemo hii ni yeye ataangushwa na jemo naye haamini… dem akaingia namimi nikaambia Jemo ajipange na trust kadhaa because things were about to go south literary. Jemo naye akasema, the best thing to do nikiingia kwa room apandishe tu mzoga kwa room na adai amechoka haoni haja waende out he would compensate the next day .
Dem kutoka nje… amevaa three quarter ame ngara nazo haga zinatokea pia na makeup kiasi hata nikaanza kutamani mzoga, but as a wingman nikasema haisuru… wacha nilalae nitarudia kunguru yangu nikisha regain. Sis hao hadi twin towers, nikaingina na kuwatakia good night… I hit the sack.
Kesho yake ni Jemo kuniamsha na masimu twende breakfast… Kufika dining room ya hoteli, shock on me… jemo na kunguru wamejiseti wakikula breko. Eiish nikashangaa bbut from the look of things maneno haya kumwendea vibaya, they were happily chatting hapa sikuhitaji kuambiwa kuwa Jemo alikuwa ameshughulikia mzoga. We had a busy day planned tukapeleka mzoga kwa hotel yake and we set off.
Tukienda ndio Jemo alianza kunisimulia vile kulienda…
Vile niliingia kwa hoteli jemo alijifanya yenyewe hajiskii kwenda out, wakaingia kwa pub ya hoteli aka chukua guiness mbili but akadai atakunywa kwa room and if they could go catch up in his room as they relax, it would be nice. Akajaribu kumuitishia smirnoff, wine, mzoga ikadai haijiskii so wakapanda na guiness kwa room but hata hizo guiness hakuzikunywa he was already horny/tipsy… kuingia room mzoga was all over him wakaingia shower na kuoga speedy speedy dem naye akachukua control… akiosha Jemo hadi mjuols… Kuingia bed, dem alikuwa amejipanga… alikuwa amekuja na packet yake ya trust but hata kwa ulevi zake Jemo akaona ni kama ni mbili… but dem akatoa moja mbio na akarudisha ingine kwa packet… jemo naye akagonga hiyo kitu like there was no tomorrow. Akimaliza round one akajiwekelea kidogo. Mzoga naye imemshikilia … kitu alinishangaza ni vile aliniambia eti ilifika usiku akaanza kuota na ulevi zikamwambia amelala na bibi… Akageuza mzoga na akaanza kuishughulikia… naye mzoga was responsive haikukataa… kumaliza shot ndio mzoga ikaanza kuteta eti ameingia bila juala… ulevi zikaisha kwa kichwa… Akakimbia kwa loo kuosha rungu na sabuni kama Zuma. Kurudi bed, mzoga inadai haitaki story yake. Imelala ikiangalia ukuta… Psychology ikakick in…akaanza kupembelezana, akamwambia yeye ako clean but kama ni ball kuna vile atanunua P2 na upuzi zingine…
Kidogo Mzoga imeingia box… naye akaanza kushika mzee abdala naya akaamka na machungu… Jemo akasema mwanaume hufa mara moja… Akasahau/akaona haina haja ya ile trust moja ilikuwa imebaki…

Hapo mimi kwa roho nasema lukhwele Jemo…

Part 4 (The sad/happy ending part) coming up… wacha nikule dinner kwanza…

Fanya summary kijana.

Unakula dina ya nini?

[ATTACH=full]170350[/ATTACH]

nice hekaya, pewa guiness utume payobir

Na hiyo chakula ni kidogo sana

Hiyo ni supper, dinner has several courses but hekaya on point.

Hekaya on point. But umalizie tafasari …

Twenty green emojis.

Rename to homabay chronicles:D:D