HODIII WATU WANGU

Salaam aleykhum people. Nami nimekuja, japo nyie mlitangulia kitambo. Nilikuwa nawacheki tu

Karibu sana. Tupo MISRI, hatuna Mussa lkn tutarudi tu!

Khee! mara hii umeshakuwa mwanakijiji Mkubwa?

Najichanganya sana kaka! Vilabu na Minada yote ya Kijijini, mi nimo kaka