Waswahili wana msemo wao kuwa ‘kawia ufike’. Jamani ndio nimefika sasa naomba mnipokee huku ukimbizini.
Wenyeji nionyesheni njia si mnajua Kuku mgeni hakosi kamba mguuni. nawashukru wana MMU kwa ukaribisho
wenu. Asanteni sana.
Ngoja wenyeji waje
karibu japo mwenyewe nipo ugenini
karibu mkuu ila jf ipo hewani sasa rudi tukaendeleze uzi