Hizi ndio vituko watoto wa KENYA watarudi nazo shule

Mark Mwas “Mum nlitoboa shimo kwa mask juu nlikua nahema nikikimbizwa na teacher on duty”

https://www.youtube.com/watch?v=m4xSlGLuhMw

Sijawatch lakini najua huyo kijana ni mshenz.

Nimetumiwa list inainclude mask mbili per day,nimcheka hadi imebidi ningiie bed