Toka jana nilikuwa nahangaika hasa pale kwenye ku recapture sijui …
Ndio nimefanikiwa asubuhi maana kila nikijaribu inagoma ndio nikatumia Firefox browser ndio ikatiki.
hongera binafsi mimi sikusumbuka
mi sijaweza kuweka avatar yangu, msaada tafadhali
Mi ilikuwa oyaoya mara moja tu imo
Mbona nmekuelekeza Mkuu na picha nlikuekea
kama ulikuwa unatumia simu lazima ikusumbue ,ila kwa kompyuta ni fasta tu inakubali!
By the rivers of Babylon we sat and wept
when we remembered Zion.
Hakuna matata, mwendo mdundo.
Hongera sana,kwangu ilikuwa ni fraction of a second,nikajikuta niko Kenya…
mi imenisumbua mpk nimeungwa na mtu
Mimi chap tu kwa haraka nikajikuta nimetua kenya
Its so simple
Within 3 minutes