Hivi hii serikali ya CCM kweli wanatumia busara?

Nchi ya Tanzania kila amayemsema vibaya Magufuli anapata kibano

Walianza na Bunge lililokuwa linaonyeshwa Live, alipoingia tu madarakani akalipiga “ban” ili lisionekane

Akaja kwenye vyama vyote vya upinzani akiwapiga “ban” kuwa wasifanye mikutano yoyote ya siasa hadi mwaka 2020!

Wakati anafanya hivyo kwa wapinzani, hususani kwa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema, yeye kila kukicha anatembea nchi nzima akiitangaza CCM kwa kivuli cha kufanya ziara za kiserikali!

Baada ya hapo akayapiga “ban” magazeti ya uchunguzi ya Mwanahalisi na Mawio!

Huyu Magufuli anachofanya ndiyo kile kitu alichowahi kutuambia Mwalimu Nyerere kuwa mtu aliyeonja nyama ya mtu hataacha kuila nyama hiyo, hivyo anaendeleza ubabe wake na safari hii kaamua kufungia mitandao ya kijamii, inayoendeshwa nchini Tanzania

Lakini alichosahau ni kuwa teknolojia imeifanya Dunia iwe kijiji, sasa katupiga “ban” Tanzania tumeibukia nchi jirani ya Kenya, tukiwa na ari mpya, kasi mpya, ya kumng’oa huyu dikteta Magufuli ambaye seraTamzani kukataa kata kata kukosolewa kwa aina yoyote ile!

Mungu ibariki Tanzania

Huyu jamaa ni mshamba kwelikweli jiwe

Hahahahaa jiwe kazini

Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni
By Zitto Kabwe

u

Uwezo wa akili za CCM umefikia mwisho , hakana jipya zaidi ya kwenda nao taratibu

Jiwe balaa

Kwa kweli huyu Jiwe ni balaa

Alituambia kuwa anaombea Malaika waje watuzimie mtanfao wetu pendwa wa JF…

Sasa ndiyo kazua balaa baada ya waTZ “kuhamia” Kenya na kuendeleza mapambano

Kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho…

Mimi ni jiwe kweli kweli!

Hahaaa mzee wa cc Mahondaw

Aisee

https://www.youtube.com/watch?v=01OolwuSY6Q

Cc: @Mahondaw

tehteh kama kawaaaaaaa… tunalisongesha

cc @Smart911

Shida sana ila kila jambo lina mwisho wake.

nafikiri yule aliyesema hapa duniani tumuogope mungu na teknolojia kwa kiasi fulani alikuwa sahihi sana

pia mavi ya paka ukichanganya na tarasimu fulani ukasimama katikati ya njia panda usiku wa manane utakuwa na uwezo wa kuona wachawi na kila kiumbe kinachotembea usiku.

Hat

Hatuna haja ya kupata ushahidi mwingine zaidi ya huu…

Ya kuwa ni yeye Magufuli aliyeagiza mtandao wetu pendwa wa JF kuzimwa

Halafu huyu Magufuli anaposema No research no right to speak, Mimi simuelewi kabisa, kwa kuwa yeye ndiye ambaye huwa anatuingiza “chaka” kuhusu data ambazo huwa anatupaga

Mfano aliwahi kutuambia kuwa alipoingia madarakani mwaka 2015 alikuta sukari shilingi 5,000 hivi kweli anatudanganya mchana kweupe kabisa, hivi kama kuna mtu anao ushahidi wa sukari kuwa bei hiyo mwaka 2015, autos hapa hadharani

Pili aliwahi kutuambia kuwa Rais Sadam Husein alikuwa Rais wa Kuwait, hivi ni lini Sadam Hussein keshawahi kuwa Rais wa Kuwait??

Huyu jamaa ndiye angepaswa apigwe “ban” badala ya mtandao wetu wenye kusema ukweli wakati wote wa Jamii Forum

Na kweli wameshuka na kuzima…! What a …