hirens boot cd

nani ako nayo

hiren boot ilikuwa inatumiwa kitambo. You need to try some new stuff

try torrents

i had to google this… kwani unatumia xp ama windows 98?

Nilitumia hii kitu mwisho 2002. Is it still existing?

Hii mpaka nimejikuna kichwa nikijiuliza nimeona hii jina mahali

1 Like

i have it