[FONT=courier new]Mbunge mwakilishi wa Wanawake katika Jimbo moja huko Kenya Beatrice Adagala amesema kuanzia sasa atakuwa anawatolea / anawalipia ’ Mahari ’ wale Wanaume wote wanaotaka Kuoa lakini hawana Pesa hiyo. Nadhani huu mtindo ukiigwa pia na Wabunge wa Tanzania Wanawake litakuwa jambo jema na la ’ mbolea ’ mno.
[FONT=courier new]Kama Dada zako mpaka leo wanaelekea Saa 12 jioni ( Wanazeeka ) bado hawajaolewa usidhani kwa Wanawake wote ndiyo iko hivyo tafadhali.[/FONT]