[MEDIA=facebook]100005197801886/posts/1230991817084067[/MEDIA]
Hawa ni shaitani
kitambo ilikuwa once bahati mbaya, siku hizi ni kama ukinunua pombe lazima ukule mchele. am done bana, ata ya nyumbani sitaki. juu ukiwaka home unaskia zimeshika utoke
Ukiwkewa mchele itisha supu
hizo chems lazima bado zipitie ini na kidneys
Ukiwa Kwa pub usiongee na makunguru.
Ukitaka poa achana na fobe shikisha gomba. Sijaiskia mujamaa amesetiwa pishori kwa mbachu …
na uongezee avocado
Name checks out
Kula kabisa
meno nayo, enyewe labda hiyo. Am done with the alcohol meen
Kîhiiiiiiiiiiiiiiiii
pombe ni hasara