Hii ndio hali nikingoja matokeo ya 9 months

[ATTACH=full]2484[/ATTACH]

1 Like

7 years down the line utatuwekea picha ya sturungi fees ikikushinda?.. Congrats though

7 Likes

Dont waste money on expensive liquor.nunua pampers.

2 Likes

…and condoms…

boss invest on pesa ya pampas na manuo za mtoi…

wee toa stress zenye hazitaisha

Kwani hapa mmesota aje jameson inawatishia hio yote.Naona kama ni half kwanza.