HII GILBEYS sijui nitado nini . Nimekua addict Ama. Halo am uwes and am an addict.
Nway NIKO hapa sankara VIP na baba ameingia.[ATTACH=full]22440[/ATTACH] [ATTACH=full]22441[/ATTACH] [ATTACH=full]22442[/ATTACH]
HII GILBEYS sijui nitado nini . Nimekua addict Ama. Halo am uwes and am an addict.
Nway NIKO hapa sankara VIP na baba ameingia.[ATTACH=full]22440[/ATTACH] [ATTACH=full]22441[/ATTACH] [ATTACH=full]22442[/ATTACH]
Kama unakunywa kuota haiwes. Try bombay sapphire ama Gordon’s. Kwani unalipangwa na Gilbeys, you too conservative with alcohol like an 18yr old. Sankara ya mlolongo iko aje leo lakini?
Hehehe uncle WEBDEV GILBEYS has that taste.
Ni half chief
Gilbeys iko on point, sio addiction mbaya
Hizo ni gin pia, sankara branch main ziko.
Oriena papa, ongeza mimi telegram
LETA handle shocks
Hata mimi ongeza unko … halafu come hivi niku nunulie gilbey’s … Niko na sister ya Okiya na gff wake nitakuskumia!
Nimekutumia message, @MseeShocks
Na upelekee mama kakitu. Sio kujipenda tu. Ama mko ma yeye?
bibi KUKUYU alipeleka kimilili
Kwani kuna Gilbeys ya UDV na EABl what the difference?? heheheeeee
Wachana nayo papa!.. itakuuwa kweli usipochunga… hii ya daily haileti shangwe!
Holy or un-holy.?
Wapi ile kidole yako?
Could be that you are addicted… Yangu ilikuwa Smirnoff and it was really bad, week days lazima nigepiga 2 quarters…Fridays and Satos lazima nipige 750 ml plus, ilikuwa ni vituko, accidents, na blunders all over hadi wife aka-threaten kuniacha.
Decided to try going without alcohol for a weekend, pushed it to a week, two, three…when it got to a month I could not believe it, kept pushing it up until new years when I had 3 glasses of wine and on birthday when I had a beer (drank less than half of it). That was August last year weekend ya 15th and I am still going…
Anko punguza ama u dilute…
Na hii tabia ya kulalisha spirit kwa Meza ilitoka wapi?
Once you get used to the taste of Gilbeys, taking any other kind of spirit is a terrible experience.