Msimamo wa timu zinazodhaminiwa na Sport pesa ktk mashindano yao
Gor Mahia
Simba
Singida utd
Kakamega
AFC leopards
Sharks
JKU
Yanga
Hoja siyo timu kubwa kushika nafas ya 8 ila hoja ni mashabiki wake kufurahi timu ya 2 kukosa nafas ya 1 kuliko kusikitikia timu yao kushika hiyo nafasi ya 8 kati ya timu 8, hii inatokea Tz tu duniani kote!https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f59/1.5/16/1f60b.png
Acha tu tushabikie timu za Ulaya maana huku kwetu ni zimebaki mbwembwe tu, watu wanadharau fursa muhimu sana ya kupata pesa ambayo inakaribia zawadi ya VPL kwa mechi tatu tu, na fura nyingine ya kucheza na timu maarufu ya England, wenzetu Wakenya ni watu wanaojitambua sana haachi nafasi kama hizo