Hii Boy imenunuliwa gari na G/friend wake as a B/day gift

Madame kama hawa upatikana wapi? Wako rare sana Kenya hii. Ebu semeni tuu ukweli ile gift ya maana dame / bibi yako ashaikupa for a B-day gift…me ilikuwa a pair of boxers na hapa kuna mwanaume anagitfiwa gari

[ATTACH=full]8199[/ATTACH]
[ATTACH=full]8200[/ATTACH]
[ATTACH=full]8201[/ATTACH]
[ATTACH=full]8202[/ATTACH]

kichwa ni ngapi pamoja na ndevu ya mapua na maskio?

2 Likes

kweli mbesha sabuni ya roho. shida wanaume ufisi tu utapata jamaa amebeba tusichana twa college kwa hio prado naye bibi awe ni wa nyeri hapo ndio unaskia transformer imeng’olewa pamoja na cables na poles zote

5 Likes

Are they adopting? Does anyone know if they need someone to wash the new car and polish the helicopter’s blades?

2 Likes

??? am not gettin u

Mrs mureithi aka aviator is that you? Iliuza ngombe zilibaki?

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

Unaweza pata the Boys famo pia sio chache, hauoni hio kitambi and he is only 30 that is why the rich only marry the rich

manzi kuwa na chapaa xcess na chalii kuchapa puthy sawasawa

2 Likes

LOL! His shoes though. He so Kikuyu!

1 Like

nakubaliana na wewe hapo. labda hata hio gari ni kijana amenunua

She owns a multi billion Company named Bench mark Solutions that has arranged transactions of over 1 billion USD. She was also mentioned in Kenya’s Top 40 women under 40

:):):slight_smile:

Ukweli ni utapata huyo jamaa amechoka na hio cooomer.

1 Like

Huyo boy is a celebrated corporate lawyer…in short both are stinking rich…corporate lawyer sio mchezo

If only @The.Black.Templar was into singo mathas, hata mimi ningemnunulia a new black mamba.

10 Likes

gifts mimi hata nipewe coca cola iko na jina langu la 60 bob ama unipatie peremende ya shilingi tano. i will appreciate it because it show that you had me in your thoughts. and will love you for it.

2 Likes

kwanza wenye wanadeal na huge financial institutions, insurance firms na commercial instruments, they don even need to go to courts

1 Like

itachapwa tu necessarily otherwise akijaribu tu kuonyesha lack of interest…(moto)matharau inaanza kuingia and then…

:D:D:D:D:D

[ATTACH=full]8203[/ATTACH]

2 Likes