Hii baridi jo

Maze sijui Kama Ni global warming lakini hii baridi Ni too much.

In previous years hii baridi ilikuwa only in July.

Watu wazaane sasa

Ubaya wa Africans ni tantrums kila tym… Tuko na summer na winter pia same country, si uteremke coast bana

Aache kazi /masomo/familia juu ya baridi some Africans though

1 Like

This is the best weather since I sweat a lot when it’s sunny

i prefer this weather too.

1 Like

Wewe @Leo Mwangih, sasa global warming ama global cooling.

kwani we ni mzungu?

2 Likes

Perfect weather for me.

1 Like

Ushawai kutana na mtu anakusalimia ‘Yes! Unamjibu Yes!, sijui kama hutaki mtu hujibu’ No,? nachukia hio salamu sana

Kate yule mweupe hajawaikufika huku…I miss zile story zake za socket…mara neighbor amekamliwa…shower haifanyi…

1 Like

Look at that colour dude… Kinda alien.

:rolleyes::D:D

YES uncle nyam!

Yes my dear. Any luck with the itch?

Its better than hot weather…

I love the cold weather, am used to it.