Hii App Inaitwa WiFi Master Key

[ATTACH=full]22866[/ATTACH]
It’s supposed to share WiFi passwords and if you happen to be in an area with a WiFi network whose password is in their database, the app connects you. Nime install but either it doesn’t work or nobody has shared WiFi passwords in my area.
Poleni siwezi wekea ktalk CSIs zile networks visible in my area,

1 Like

Prolem is wale wasee wana wifi hawajainstall hii app

1 Like

Script kiddies wanause.apps ndio wahack wifi :D[SIZE=16px]:D[/SIZE]

hii ni equivalent ni kuambiwa kuna master key ya kufungua gari zote:eek:

1 Like

cowpatty :smiley:

hahaha ati inajiita master key :D:D:D:D:D:D:D:D jina pekee imeiua

Hii tool mpango mzima… Automated! Compatibility: Noob, script kiddies, geeks

sasa app iko na keys za hotspot zote worldwide aje :D:D:D

Actually iko na keys za wale wenye wamestore zao kwa hiyo app… So unapotumia dis app ukapata WiFi ya mwenye alistore key yake hapo… Utajoin tu pap!

Hackuna WiFi Hacking app iko kwa store yoyote inwork,Izo na za kuprank mafala ati we ndo ule Mzii:D

kwani ktalk siku hizi ina mafala aje, yaani tuseme @Pythagoras pekee ndio anaelewa kile ina happen hapa

Tumia sniffer kujua. Za cyber mob za estates hufunguka ni vile speeds zao ziko down.