High School Lingo

In your high schools or in very secluded communities, there is the lingo that people normally speak that can only be understood by that community and is not very popular or none existent out here.

Kwetu kulikuwa na jina ‘kudaive’ mnyambuliko wa kitenzi:
Kudaive - noun
Ulidaive?
Alidaivoka
Tutadaive
Kudaivoka - adjective

It meant doing something very early. Kama kudaivoka daro ama kudaivoka bed!

Ongezeeni zingine mliwacha huko and have never used again!

Jiks - Distress signal warning a teacher is about to enter the class

Mtombolosi-lanye

kukiss - cleaning duties that involved rugs and water

Kumine…washing loos…though @The.Black.Templar tunajua ulikiwa high school in 1963

gugathinga…kutooga
Twae…kurudia githeri roundi 2
kamutu…ngumu kwa canteen

Sasa in my school we only had teachers’ nick names… Otherwise hawa wabukusu walikuwa wanaeka their language to replace some swahili words. I thought I just adapted to the language mpaka when I came home everyone around me thought I was converted to a bukusu :D:D

Liked it though.

Whistling - Kunywa chait bila escort wakati uko msoto.

Back then tulijiona wajanja.
Now the tables are turned. Every holiday my son comes with new words I can’t figure out.

Sisi tulikuwa tunapewa pesa na kenyatta bana!

:D:D:DElsewere i hear Kamutu meant sembe!

kwetu ilikuwa inamaanisha ngumu
Kushida rwagi…kwenda funkie alafu ukose kukatia dame
Karuma…nick name ya boy fulani alikuwa mnono longi ilikuwa inaishi swallow

Gaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaayyyyyyyyyy

bitch Ass

Greaser - @mukuna
Doubler - @introvert

Touch-kurudia food raundi ya pili

KuBreeze- kama hukuapproach chile on a funkie:D:D noun-mbreezer

Nyoka- form one
Gun-kijiko

Kuna watu wa kangundo apa?

Born tao - ni wale madem wa ocha walikua wanajifanya wajanja. A cup of concentrated cocopine juice enough for one end a dryspell.

Dame kuiva kivyake…an ugly ass bitch

You guys are so young, Mimi nilikua Ile enzi ya madiaba na boflo