Sasa, ukinunua nguo kwa the so-called bolo bespoke, huwa umempatia rights za kutumia image yako kumarket biz yake, ama huwa kunaenda aje?
1 Like
Umetoa wapi hii allegations?
1 Like
Ametumia picha zako elder tunukishe kitunguu, mimi kama lawyer na elders kama eye witnesses
1 Like
unajaribu kusema umenunua suti kwa bolo?
2 Likes
Wewe vaa nguo unatusumbua.
2 Likes
Niko na suit ya 2500 ya mtush na inakaa hizo tu za Mboro Mbispok