Help

Nimetafuta job but wapi… siget .

nili graduate uon nikapata job ka transport manager alafu nika quit na nika chukua truck ya bro ka drva kumbe maisha ni ngumu…
any one in transport and logistics biz aniokolee coz am very talented kwa hii profession. .

i also quit my job recently juu ya my employer kuni-exploit,unfortunately i dont know much about transport and logistics but nikaskia opportunity mahali naeza kushow. mie nafikiria kuanzisha kabizna & start small. pole

Mbona uliquit? Bro hakulipi pia?

never ever quit unless you have an assured side biz,huko nje ni kunoma mblo!pole lakini

I remember this story on klist, was it you?

nope

analipa ki madharau ati mara shika hii 5k ulipe rent hii mwezi ni kubaya

@Luther12 tafasali kuja saidia huyu mujamaa

Sijui nikusaidie wapi bro coz I have no clue where to even start in that line of yours. Have you tried job sites and maybe county govts?