Help needed tafasali

wadau off late i have been experiencing burning sensation and extreme itchyness on my scalp and beard especially at night.Tried various medication and haircare products but all have proven ineffective.Am now contemplating completely shaving my afro and beard completely…Who has ever experienced this and what could possibly be the cause and its remedy?

Nyoa completely halafu uoshe kichwa na protex soap for two weeks.

In the old days guys used to apply brake fluid as a remedy for tumande.

Chawa zako ni nocturnal.

Nunua mafuta ya nazi toka malimdi na sio ya madukani, ya mashambani. Wiki moja utakuwa sawa

You should have told us,what you’ve been apply or doing to you head before the the whole ordeal. Some people try things on their bodies, alafu mwili ikiwageuka, ndio wanaaza kutusumbua.

Watu wakome story za brothels.

Honestly it came out of the blues…normal itch that gradually became persistent…Tried washing my head at least twice a day bt it still couldnt stop…My kinyozi guy told me it could be dandruff and suggested some hair cleaning product bt so far nothing seems to work…

Alikula na mdomo.

Kulala kwa matandiko machafu lanye riding you kwa danguro

Uko na experience na hayo mambo

@Otero sandak wewe chawa na ngukuma ni familia moja.

hio sio chawa wewe msenge…its a skin condition called Psoriasis …kuma chafu wewe

Ukweli huwasha. Penda maji na hizi shida Zitakuondokea.

Hiyo yako ni dandruff solution ni uende unyoe nywele yako yote alafu ukuwa ukiosha kila siku uanza on a clean slate

Tafuta Sabuni inaitwa Detrex imetengenezwa na Aloe Vera. Size ndogo ni 25/,kubwa 50/. Osha nayo kichwa na ndevu twice daily you’ll be surprised. Imenisaidia sana after sometimes back nikinyoa kichwa nafuriwa mbaya na kuwashwa. Detrex will erase hio kufura haraka na ikaushe kabisa. Thank me later

@Otero sandak wewe bado iko rudia fobe?