Help me understand

In the spirit of christmasnimejitolea kufunza watoto wa sundayschool ile play ya jesus. Sasa juzi tuboy tudogo tulikua tunapigania part ya kukua joseph kwa hii play. kuulizia nikaambiwa ati ule msichana alikua anaact kukua Mary ni wale the beautiful are not yet born.so kila boy anataka kukua hubby. …nikaona kabro kangu kako kando. kuona ni kama bro anaangusha familia nikaamua kumuuliza mbona hataki kukua husband ya mary… akanisho…MIMI NI HOLY SPIRIT…mpaka sai sijaelewa hio story.

13 Likes

Mimi sielewi pia

he is hoping to DF ki-sniper…man Jose akija kuangalia atakuta kulisha-happen…

1 Like

Tukiwa watoi, hizi play ndio zilifanya maboy waanze kuwa na mawazo ya kifisi.

Holy spirit ni wa kutia mimba bro.

1 Like

Stupid joke!

:D:D:D:D:D:D:D…holyspirit ndio ilikamua iyo kitu…

1 Like

Holy spirit ndiye alijaza Mary not Joseph so your bro is quite lucky.

1 Like

Hahaha

1 Like

“kids say the darndest things”, hm?

1 Like

calculating and well informed that kid bro of yours.hehehe

Ni Vyenye Mary alikua virgin na nowadays kupata virgin ni ngori

1 Like