@MISCHIEF @The_Virus
Leo niko na 200 bring your ideas
200 what? MB, Ndorras, Virgins…
Wacha nianalyse
Leo nikubaya…acha nipite games ntakushow
Mimi ni vile niliwaambia…Strategy ni kubet many games spread out through the weeks… Nlieka 150 na expect 10k… Nlieka 8 games 6 have gone through 2 have yet to be played… Moja ni ya leo na kesho ya Arsenal
Game za EPL ni risky sana.
Epl nlieka moja tu- Arsenal… The other one ni ya Bundesliga, the one I fear most since team nlieka iko na odds za 3.61
Kuna ya B. Leverkusen v Borussia Monchengladbach. Noma sana.
Nimewekea leverkusen
leo munaonaje southampton?
Io sasa nimeweka Monche
Everton nimeiweka pia leo ni mizengwe
Lukaku ashafunga.
1-1
Everton wamewaste chances first half sana.
Nyamazeni!!!
Everton ni moto wa makartasi
Sawa tumenyamaza, si wewe uongee basi.
Bony!!! City 1
Stepper wewe umekwachua alafu mzee mzima 10k inaenda hivyo,ata mimi last week liverpool ilifanya possible win ya 23k kuenda na maji