Habari Wanabodi,
Tumefanyiwa figisu huku kwetu tulikokuwa tunaondoa stress, tunaomba mtukarobishe kwenu.
Regards
Rogie from Jamiiforums
Habari Wanabodi,
Tumefanyiwa figisu huku kwetu tulikokuwa tunaondoa stress, tunaomba mtukarobishe kwenu.
Regards
Rogie from Jamiiforums
Kiti inakuja
Sawa village elder
Babes habari realised we share a university…
Really??
STREES ni nini kwa oswahili . bingwascrotum upuss tulisema usituletee
Karibu kuna jukwaa LA jamiiforums pia karibu kule
Heshimu wageni.Jinga hii.
Vitu kama hivi vinaweza kukufanya ukamiss home. Tunatukanwa for no any apparent reasons.
I’m offended kwa kweli.
F ccm.
F ccm
F ccm
“…kila soko halikosi kuwa na mwendawazimu wake…” Tafakari…
Karibu mkuu.
Watu tushaomba udiaspora toka siku nyingi, sada ndio faida yake imeonekana kabisa.
Usisahau kumshtua na jamaa yako wa karibu aje humu tuendeleze mambo
Wait what the fuck is this?
duh
Offended my bla
offended my black Ass. Puga!
[FONT=tahoma]Stress- msongo wa mawazo[/FONT]
Kwakua nipo ugenini acha niwe mpole kwanza nisikujibu
Safi sana mkuu, huku inabidi tuwe wapole
Ahsante sana, sema hii forum haipatikani kwa Tapatalk wala hawana App (Sijaona kwa AppStore)