Hehe, the owner of the dingy Airport chain of clubs introduces Keg to Westlands.. Says his club has no CLASS and discriminates no one. If you want your club to last for long, treat all customers equally




3 Likes

Smart move, mnaanzia tembo hapo then mnamalizia alchemist ama Brew bistro etc

1 Like

Tutaenda kunywa keg dark Extra hapo na akina starscream

1 Like

Siwezi kaa na maskini huenda ataniambia simu ama pesa.wewe imagine unashare poko na mtu wa mjengo boda ama chokoraa

4 Likes

A brilliant move since vile JSKS anapeleka wasee hapa kanairoste hata mambuyu wanakunywa keg , problem is vermin like @johntez_addi_gaza_ms will patronise the club 24/7 wakitafuna matawi,jungu na kusniff tobacco peacefully

6 Likes

Hizo pombe ametaja ni za kariobangi chemical group.

1 Like

Hapo ametupa mbao…no way wasee wa 12yr Glenfiddich watakaa same pub na muguka keg drinkers

2 Likes

Hapo iko na malanye petite

Hiyo club iko kahawa west not Westlands. They took over a struggling mugithi joint

1 Like

But It says westlands branch

They trying to make it look fancy. The club is on kamiti road
Westlands watu wanakunywa keg aje ?

2 Likes

Hao madame only 1 anaweza hiyo kazi on the left

Hehe kwani westlands hakuna watu wa keg mdau? Haiwezi kosa. Kama Kuna wines n spirits mingi, then pia keg can sell

Can’t work. Mtu wa Martell hatakubali kukunywa Martell yake kwa base inauza keg. Eventually kutabaki watu wa kukunywa keg pekee. How is this club doing right now??

The well off customers ndio hujitoa. Despite the owner’s noble intentions, the market will always segregate itself. Kuna bar za watu wa beer, za watu wa keg, na za watu wa mizinga. Beer hukuwa mid-point so utaipata kwa both low end and high end establishments. Chini kabisa kuna base za chang’aa na busaa mitaani.

The only common factor among all echelons is punani. You just need to offer discrete rooms and young mallayable girls and every one will converge there.

As much as airport 44 has rooms za shot, lodgo ziko around get serious bookings at night courtesy of those who see their class above the usual rooms za 50.

This topic was automatically closed 365 days after the last reply. New replies are no longer allowed.