Heeee!!!mwanamke naye ni kiwanda???

Hivi tafsiri halisi ya neno kiwanda ni nini?kwani naona sasa Tanzania kila mtu anakuja na tafsiri yake ya neno kiwanda!leo namuona msanii mjanaja mjanja kwenye kamati za misiba STEVE NYERERE,kwenye kituo kimoja cha runinga anasema mwanamke naye ndio kiwanda kikubwa zaidi kuliko vyote!!kwani yeye amewawezesha wengi ktk kumsadia mheshimiwa kwenda nchi ya viwanda!!juzi nimemuona diwani mmoja anagawa birika na vikombe vya kahawa kwa vijana wa nane anasema anamuunga mkono,kwa kuwawezesha vijana kuanzisha viwanda vya kawanda!!hivi neno kiwanda tunalichukulia poa tu mdomoni lakini kwenye tafsiri ni neno zito sana!!ila yote hiyo ni kumfurahisha jamaa!!!#TUTAPATA TABU SANAAA!!!

Neno la kitoto mtoto kumuambia mtoto tunasema ‘watoto wanacheza’…

Neno la kitoto mtoto kumuambia mkubwa tunasema ‘mtoto anakua’…

Lakini neno la kitoto mkubwa kumuambia mkubwa tunasema ‘mkubwa kawa ms☆nge’

Hahah!! … .

Vitu vingine vinachekesha sana japo vinatia hasira zaidi…

Mimi ninachojua majike yanaweza kuwa viwanda.Mfano majike ya ng’ombe,Mbuzi,Kondoo,kuku n.k.Mimi badala ya kutumia incubator kwenye poultryfarm kutotolesha vifaranga,natumia kuku majike na vifaranga nauza.Lakini hiyo ya mwanamke,mwanadamu kuwa kiwanda ndio nasikia hapa.Unless hao watoto wanaozaliwa wawe wanauzwa a.k.a slave trade!

Neno kiwanda tumelifanya la kisiasa kuliko kitaalamu.
Ndio maana tunaona kila kinachotengeneza kitu au kuzalisha kitu ni kiwanda.

Nasikitika sana kwa wewe kupoteza muda wako kumsikiliza Steve Nyerere. Mna moyo sana mnaomsikiliza uyo jamaa

Hmm! Kaazi kwelikweli…

Hmm! :oops::oops::oops:

:D:D:D:D

Steve nyerere!!!

Yanayoendelea yanasikitisha sana…

Na wanajua kama ni uongo ila hawana namna…

Cc: @Mahondaw

Hahahahaha… nimemkumbuka money Penny aliwahi kusema hilo la viwonder

Money Penny atakua anajua labda BAN yake imekua extended… amekua kimya kabisa… ila Whatsapp anapatikana…

Cc: @Mahondaw

yeah whatsapp namuona mbona haji huku au kaja kivingine??