[ATTACH=full]179711[/ATTACH]
Huyo shivo amefanana sana na kibajaji.
:p:p hawa jamaa tayari tumeanza kufukuzana hadi kwny mbege?
Mama mushi…tuongezee kubwa mbili hapa halafu waongezee akina whu xing pale kila mmoja kitochi.
Mkuu hii ni hatari
:D:D:D:eek:…
mwishowe wataanza kuuza mbege kabisa
Nimeitamani hiyo mbege
Hawashindwi hao kama waliweza uza mahindi ya kuchoma hakuna kinachowashinda!
Hatari sana!!!
hahahahahaaaaa