As an accountant in employment, nilikuwa nafanya juu chini wakubwa waanze kuiba. I would coach and facilitate them on ways of stealing. Wakiwa knee deep pia mimi naanza wakandanism knowing very well hakuna mahali nitapelekwa. However, this was mainly expenses scams after hitting or when almost approaching targets. Nachukia wasee huiba mpaka capital.
Nikiwa intern kwa underwriting company flani many years ago, nilikua napewa kazi za kifala though zilikua zinaingiza kitu 3k per assessment so haikua hard kung’oka na kinde every four days…to give the youngings a perspective,maziwa na mukate ilikua fotifae bob combined,. Later I moved to assessing tuk tuk aircrafts pale wilson na nanyuki… Hapo nayo nilifanya ile kitu bila guilty conscience. Mdosi alikua gum
Punda hukula kwa mgongo ya ng’ombe. I always made sure that things were running as they should ndio hata watu hawqna time ya kujikatakata vipande kurudi kwa vumbi kuangalia details. I have noticed that when the company is making good profits, watu wengi hawataki details mob but kama inayumba yumba, hata 10 bob boss anataka kujua ulifanyia nini.
Hakuna kushikwa atashikwa. Saa hii tuko 2023 na alifanya hiyo kitu 2016. Gari maybe hata ishakuwa scrapped. The only thing ina ID engine ya gari ni Block Number and is normally engraved na kuna kalasinga wanfanyanga hiyo biz