leo hatuongei mambo ya mkia…
ushawai saidia rafiki na emergency money…then anakushow atakulipa but anakawiya sana…ukimuliza anakasirika na ulimsave roho safi…
so beste kanicall around 9pm nishafunga job niko kejani…boy anadai …tommy mtoi amekuwa msick jo naomba unirushiye 5k niko hosi amekuwa admitted…kesho nitakutolea kwa ATM nikurushiye…
l tell him waah iza jo…mtoi ataskia poa…ni vile niko home sina chapa kwa mpesa…kesho morning nitakurushia…
boy claim morning haitasaidiya…wewe jua vile utafanya pliz…
cuz l was once in such a situation a loved one got admitted na saa iyo nilikuwa na 2k ile stress ilinipataa…
nika cheki my till number iko na chapa za job…nikawithdraw to my phone jamaa nikamtumia 4k…
jamaa sent me a message thanx sana received …kesho nitakuwai bro
nikajibu wazi…quick recovery to the kid
Fast forward…the next day jamaa text me bado niko hosi nitakusort usijali …nikajibu sawa
FAst forward siku tatu zikapita boy ata habongi na mimi
after a week l decided to call…jamaa ananishow sijasahau nakutafutiya…l asked him ulisema unanitolea kwa bank…
jamaa kanipea hadithi…nikaboeka nikakataa
fast forward 2 weeks zikaisha jamaa ata call zangu hashiki
message hareply
4 weeks zimeisha …bado message hareply
text today vipi bro mbona kunifanya ivo na nilikusave roho safi kama brother
jamaa replied …Wewe wacha pressure ile siku nitapataa pesa nitakutumia
iyo message imeniuma sana…
how do u deal with such a person…na sitaki kumpatiya street justice juu am a changed man
Anakwambia hivyo ndio ukosane na yeye usahau dough juu ya hasira. Mwendee umchapie straight unataka dough. Usiende kama beshte, kama ni TV utachukua , beba kama shylock. Keep money and friendship separate. Otherwise sahau pesa na ukate urafiki ndio next time he can’t turn to you and anybody who hears about you ataogopa kukuomba pesa.
That kind of situation does not require a phone conversation, bisha nyumba yake at 8pm when you know he will actually be in the house. If you continue communicaing through phones hutawai pata pesa yako. My friends are aware how easy it takes for me to turn from friendly to mean. Mpatie ultimatum ya kimwanaume umwambie unataka pesa yako witjin a certain day
@vnv apo umesema kweli money and friendship kando…kwanza noma nilitumia za ngwati izo ni empty dvds kama 700pcs @Mkufuu mzoga ni wkeend @Fala 12 nilijifanya beste but nimelearn…lakini S.J nikichapaa gilbeys atapataa ni vile izi mambo za kuchapa watu usiku na.chuma natakaa kuwacha…last time niliwachapia heka ule boy alinicon 20k nikiwa 19years nilimpataa na hadi waleo anatumia wheelchair
In the same situation, lent a guy cash last year, mbeleni alikuwa analipa poa but this time dont know what happened niliitisha mpaka nikamwachia, hajawahinipigia niliona ubeshte wetu its worth 6k
This situations should make you realise that you are blessed.
I remember somebody once told me ati ukiona ukiibiwa ujue umetajirika…
Sounds stupid but think about it!..
Oh and another category of people I cant stand are those who say uliringa. Used to hangout with them but eventually workload started increasing and dont spend as much time hanging out wanaanza kusema “alipata tupesa maringo ikaanza, na je ukipata pesa siutatusahau”
Mimi I lent a friend 20k akahepa nazo…and this was such a close friend aki angenipigia simu aniambie kimeumana ningemuachia…but the bloody fool decided to go underground, hadi akabadilisha number yake. When I finally tracked him down I was so pissed I took one look at him, turned around and moved on.