Majina ya matunda.
- Parachichi - avocado
- Tikiti maji-melon
- Chenza- tangerine
- Tufaha - apple
- Mkwaju- tamarind
- Tende - dates
- Fenesi - Jack fruit
- Mish mish - apricot
- Tango - cucumber
- Zabibu - grapes
Tukienzi Kiswahili
Majina ya matunda.
Tukienzi Kiswahili
Hapo kwa mkwaju are you sure it’s not ukwaju?
Nilifikiri tangerine ni sandara
chenza ni tangerine ni sandara,.
@Mbele iko Sour tufunze sehemu nyeti za mwili za wanawake
Ukuwaju ni juis ya mikwaju. Mkwaju ni mti. Matunda yake ndio mikwaju.
na jamna unaitwaje kwa kisungu?
Asante kwa kugawana jina hili la matunda
Nyeti ipi unataka kujua jina lake?