Hasla got 60% of his votes from Mt Kenya, so Mt Kenya should get 60% of govt

The support should be rewarded. Hakuna cha bure.

Shughulikia opposition kwanza.

Wewe ngoja, kuna vile tulielewana

Enda tafuta uhuru akupe kazi buaaana

:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D

You don’t negotiate after delivering. Mt Kenya will not get any special treatment in his government. Akina Gachagua were just mercenaries na wamelipwa to deliver the votes. This is not a nusu mkate government kama Uhuruto 1.

Ruto amechips-funga mount kenya sasa wanaitisha relationship asubuhi :smiley: You have been pumped sasa dumping ndio inaanza.

Mambo politics tuachie,deal na mambo ile unaelewa ya single mothers ama wazee wa kununulia wewe pilsners

Kubaff kubali umechips-fungwa sasa its time to get dumped after delivering votes. Jambazi doesn’t owe GEMA anything and you will see that in his cabinet appointments.

Gachagua atakuwa messenger huko state house. Atakuwa vice president lakini anasalute Kibet na Sudi.

Pole ndugu. Those offices are going to be filled with 100% Kalenjins hadi mtu wa kufagia.

Sisi watu tumekuwa kwa opposition there is no difference to us. Hata hatujui vile ofisi za national government zinakaa:D:D

Welcome kwa hii dunia yetu

Hii kelele yote na you didn’t vote.

Si unioshe mecho ni celebrate hii ushindi in style?

Nani amekwambia I didn’t vote?? Umevuta bangi mumama??

Ongelesha a lady mzuri bana na sitakwambia tena

Sipendi ujinga.

Hata Uhuru hajatoka state house umesha join Ruto and want a piece of government.

:D:D:D:D:D:D sowwy.

It’s alright. My bad.

Waiting for Kamwana to hand over first. It’s not over until it’s really over.

Si unionyeshe trailer nikingojea the real movie,? Ahsanta

Wueh, leo ni Machungu Monday.

Wacha sisi wenye tulimpigia tuongee.