Since admin decided watu kama sisi wa mobile log ins hawataki huku kwa kijiji,wacheni niache hii salamu za New Year hapa juu nimeingia cyber kutafutana na madocument za KRA. I hope he,admin na wenzake are happy now that they have managed to alienate the non millionaires from KTalk.
Ningetusiana lakini mbarikiwe…