Happy birthday mkuki wangu, happy birthday @mumu akee Mungu akupe kila hitaji la moyo wako uendelee kumtumikia vyema mama mchungaji wewe ukiwa mbele ya madhabahu yako ukinena kwa lugha, usiache kuniombea na mm siku moja nianze na mm kunena kwa lugha
Neno hili liwe faraja kwako ZABURI 71:1-2 Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, uniopoe, unitegee sikio lako uniokoe
Oh,.woww jomonii hahaaa ahsante my shogaa,my mkuki,damu yangu,kipenzi,kinainai changu…we unajua venye nakuelewa saaana,. ahsante sana japo tuko ukimbizini acha tuu tujidai japo kidogo…Mungu atubariki sote atupe haja za mioyo yetu tuzidi kumtumikia kwa uamifu ili tupate mwisho mwema,.kumtumikia Mungu kuna faida mnoooo ww unaelewa na pamoja na yoooote tunaamini katika uwepo wake,.amina,.hahaaa nisiandike sana mwisho nikakosea…lav yuuu joooo much nikirudi town kitu cha Palestina lazima ki-hapenn woouzweeeeerr:D:p
Hahahaha sio mwisho utakosea yaani mwisho utaharibu kabisa bora ulivyoishia hapo hapo wooooooooooozeeeeeeerrrrrr jamani nimemmiss ba mkwe wangu mm angekuepo hapa yaani kama namuona