[MEDIA=twitter]1313287355109908482[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1313321380096561152[/MEDIA]
hapa msito putin should move in swiftly …izi chokrorazote za USSR zirudi home
A revolution is slowly taking shape globally
These countries should/regions should be made one.
Uzbekistan
Kyrgyzstan
Turkmenistan
Tajikistan
Afghanistan
Pakistan
Hindustan
Rajasthan
Armenia
Iran
Kurdistan
Azeri na Armenia country moja is a No. Hapa Ka war atachacha mbaya. Now the fight is sucking other country in. Kurdistan worker party have sent it’s militia to nagorno karabakh to fight alongside Armenia soldiers.
Those militia wakipata experience wataenda kusumbua turkey. Turkish government hawangefaa kuingilia hii Vita since they share border with Armenia. Armenia may arm Kurdistan militia.
Hapa ni nomaree America saa hii hawawezi ongea kuhusu peace. Trump ako campaign mode haimhusu.
Shida zaidi ni Hawa kurds wako Syria, Iraq na pia Lebanon wakitaka kuwa na State Yao.
Most used to be in USSR
tutafanya hivi lini?
Saa hii Armenian government will do anything to destabilise Turkey. Erdogan thinks Turkey will reclaim the ottoman empire.
Pia Greece iko on the mix kuna vile Erdogan hapatani na Greece.
Wataguza Kazakhstan?:oops:
let it burn… the world needs restructuring
Ngumu Sana vile hiyo Nchi shares a very long border with Russia plus their capital and Administrative city is far North near the Russian border.
Greece hawajawahi patana na Turkey tàngu kitambo na shida ni ati Greece is weak economically and military wise.
Kwa hii vita ya Armenia na Azerbaijan, I am firmly on the side of Armenia. Hizi umbwa za Azerbaijan zipigwe.