Agriculture for primary school radio broadcast the opening and closing tune was a certain rhumba song by Bopol Mansiamina
@ChifuMbitika kwani uko na handles ngapi?
Wewe kama hatuko agamates difference ni 1 year. I began fascination with adverts after my Uncle got a role in Vick’s Vapour Rub radio Advert in the 1980s. So whenever we heard that cool song about Vick’s we used to say Sikia Uncle kwa radio. He is already gone RIP
Sunday after Church Sinbad and Maria de los Angelos…noma sana. Tulikuwa tunaenda kwa jirani kijiji mzima bana
Nilianza ku watch telly kitambo, tulikuwa na ka greatwall, pale hio telly ilienda ndio sijawahi jua. Uko 38-40.
Nakaribia fourth flr, 2 more years to go nianze ku experience “life start at 40..”
OK, you are still young. Me 4th floor already
Mimi since childhood nimekuwa facisnated by Brands and their origins. By class 7 hakuna make ya gari ungeniuliza nishindwe kukuambia ni ya country gani, even rare cars such as the hand crafted Morgan
Maria de los angelos iliweza…kulikuwa na character main anaitwa Hohe for georges, alikwua amekufia Maria, na pia kulikuwa na jamaa anaitwa rodrigos, alikuwa amemkufia pia, mathake alikuwa anaitwa rosalinda, na maria alikuwa na sister mless alikuwa anaitwa alsandara (jina kama hio)…nilikuwa nme fall nako niaje. nakumbuka majina ya half of the character.
Sinbad nayo ilikuwa mambo yote, kulikuwa na madam anaitwa meiv (waai!! pia alikuwa amenijaz hehe) na mblek fulani bubu ananikumbusha movie ya SOLO, na jamaa anaita “dubu na firoz”…na walikuwa na eagle fulani.
love those days banae.
Hehe wewe ukienda sana uko 42 hapo.
There about.
Kwa store yangu kuna Magazines I got from that Vick’s advert uncle za Europe in the 1970s and 80s. Magazines za furniture and decor akina IKEA. I look at the quality of the Sofas in those old mags nashangaa sana. Woodwork of those days was perfect. Reader’s Digests and Car & Driver magazines. Very nistalic 80s
Hehe, zuma, hio book ilini nice pia, alikuwa ame falia mdem anaitwa Eliza, jamaa alikuwa ametoka ocha. Hio book ukisoma unaona tu maisha yao kitambo na vile they were harrased na wazungu. Kulikuwa na mlevi fulani alipenda vita sana na alikuwa ana stay na madam fulani alikuwa anauza pombe haramu…
KTN kulikuwa na show ya "Neighbors " and another one i forget the name “George Stop Watch” the guy would hit a button and pause everything except himself. Alikuwa na funny floating creature inakaa ball with only face, no legs no arms.
Bro uko na memories poa kizee. I dont remember shiet
Telly yetu ilikuwa ina sumbua kushika KTN banae…nili miss vipindi mob pale KTN. Ilikuwa ina bidi napanda juu ya mabati ku adjust ariel. Ikishika KTN inapoteza KBC…
Hukosi uliwatch “Esmeralda pia”
90s…
Hiyo siikumbuki. Pia kuna show ilikuwa inaitwa The Bold and the beautiful KBC after masaa ya watoto kulala. Nasikia ilikuwa na ngwati. Never watched that shiet. TV ilikuwa inazimwa inafungiwa kwa kabat na kufuli ![]()
The Bold ilikuwa imjeaa ma affairs za Relatives kukulana. Was very odd shit na watu kudarana and made you and your parents uncomfortable becuase you didn’t know how the next scene would be. Watu wanatoana nguo karibu kutombana kwa TV in the 1990s!! Unajipa shughuli eti kuangalia kama kuku wemefungiwa
hehe, nili watch the bold and the beautiful…kiasi kiasi. Ilikuwa na romance tunaambiwa tufunge macho.
That awkward moment ukiona kuna tension btwn two adults na unajua lazima watakulana mate na wadarane unajipa shughuli unatoka sitting room unajifanya umeenda shughuli hadi hiyo session iishe. Sisi tulikuwanga na remote. Ukiona ngwati iko karibu kuanza una change chennel faster sana. Then after afew mins unarudi kuona kama session imeisha
Was scary as hell to us kids
Character kama ridge forester na brook forester, kulikuwa na mumama muzee alikuwa ame kufia eric (alikuwa na biz ya fashion)..eric alikuwa bwana ya stephanie..kulikuwa na taylor. Wote wali date Eric baba ya ridge. Ridge na yeye alikula brook na taylor…kulikuwa na thone..mtoto wa eric…alipenda daughter (messi) ya huyo mumama muzee..
Niliacha kuiona in 2000..brook na ridge wakiwa na daughter anaitwa bridget…