Hapa ngumzo tu!

So kuna day imetembea pale hall of fame so nikitembea nakicheki kila corner hizo picha sijui niwaite wagenge anyway lengedarys za miaka nenda miaka rudi.

Mara mzae mzee akatokelezea …kubonga mdogo mdogo…budangu alinifunza kukaa na wazee. Akaniuloza ka naelewa yayote kwa hiyo picha aliniget nikikitizima. Nkamsho zi mzae.

Akamiulizakama.najua kwa nini hizo.photos ziko hapo. Me nikamsho maybe cz ya vitu na history siku zake. Alojibu no. Akanishow hao wazae naona hapo wako hapo ndio wanishukuru.

Me nikageuka na kumuuliza what?.. Aka nishow hao wazae walikam before me na wakachangia …kwa kila walichoweza na ndicho kimeisimamisha dunia nayo ishi kwa sasa.
Ida wao walisha umaliza ka viongozi na walio bombea etc… Nawashapatilia majukumu chini kwa walio wafuata.
Lakini wanatucheki tukiendelea na job walio anzisha hawawezi kutubongesha lakini wanavyo tutizama nyuso zao zasema kwamba twafanya walio anzilisha . we …eee nikamsho me zijawahi fikiria kitu ka hiyo.
So unapoona sura ka hiyo kwa kuta za hall of fame oatakujua ni shukrani wakupa.

Haiya

Kiswahili Si mdomo chako!

Kihii Kiaganu/Mosa detected