Hapa Ndipo Kenya Tumefika

Asubuhi Waiguru organizes demos to support her over the NYS manenos, the youths are sourced from Kibera and they are wearing NYS t-shirts.
Raila not to be outdone today evening organizes another set of protests in and around Kibera this time against Waiguru.
Sasa Kibera kuna tension that the two groups may clash, naona bon fires na blocked roads ndio kusema huko.
Hapo ndio siasa ya Kenya imetufikisha.

1 Like

sema ujaluo

si mambo ya ujaluo au kikuyu, ni mambo ya vita ya big guys using the slum residents as pawns

7 Likes

Na vile kesho nilikuwa nafaa enda pick up replacement ya ID yangu hapo kwa chief kibera. Hata sijui ni ujinga gani sikuenda huduma center. Mwezi na… tayari.

kumbe wewe ni slum dweller?

Of course mzeya … na dwell in the dwelling slums, usimind hauko pekee … tuko wengi.

1 Like

[ATTACH=full]7834[/ATTACH]

[ATTACH=full]7835[/ATTACH]

hata @Ice_Cube ni member huko kabla hajaenda kujenga porini,lakini mimi ni mtu wa santa fe hivi hivi

In women attire…

[ATTACH=full]7836[/ATTACH]

kwanza leo jam imeniweka sijui kama nitapata ule madha huniuzia food na jina kwa kitabu ilipwe end month, la sivyo nitalala njaa

2 Likes

[ATTACH=full]7837[/ATTACH]

[ATTACH=full]7838[/ATTACH]

[ATTACH=full]7839[/ATTACH] Yo Jay-Z. … ulikuwanga unajua ati @Wakanyama ni mtu wa Santa fe hivi hivi …

2 Likes

Halafu the other day you were busy lambasting @Deorro . You are not any better.

[ATTACH=full]7846[/ATTACH]

am just staring at the world from a probox window

The only positive i sense from this guys is that they aren’t afraid to stand up to corruption, oppression albeit in a crude way. If only all of us had that in us.

Unazea ishi Kilimani (hurlingham) woodely etc and still get that ID from Kibra.

Don’t mind that fool @Wakanyama … his from Santa fe … hivi hivi. He wouldn’t know that.

1 Like