Hapa kwa auction yard - mambo mbaya, Covid imeumiza watu

https://pbs.twimg.com/media/E5oWvyxXIAQxGxC?format=jpg&name=large

https://pbs.twimg.com/media/E5oWxnFXEAEnYKk?format=jpg&name=large

https://pbs.twimg.com/media/E5oWzUmXIAM-aKH?format=jpg&name=large

Hio KCU 596A ni gari ilinunuliwa last year woi. Barely 24 months inachotwa

Mat, not unless uko na mtu anakuonyesha way forward, ama wewe ni conductor ama dereva wa hiyo gari Yako, ni biz haufai hata kuifikiria. Ingekuwa possible iwe truck Tena, ingenifanyia kazi saffi sana.

Wa, nipewe FH moja, one year pesa itakuwa imerudi.

Niulizie bei yake…

This is the most informative thread you’ve posted.
Anyway am interested with that Isuzu NQR-4.3. Give me the direction.

never go into the matatu industry as a passive investor

But KRA inasurpass collections ata leo… what is not adding up

Been there since 2014. Very experienced. Kwa sasa it’s a no go zone…Hakuna pesa bado.

This is the best time to buy local commercial vehicles ,bei ni mzuri zaidi

kcu ni ya 2019, kama kda ni ya late 2019 ni kama wewe ni mtu mjinga sana

Especially FH

Relax, yule alinunua ndio ichotwe anaeza kuwa pia second owner

hakuna fh hapo msakulu zote ni izuzu nqr(mat), isuzu frr kenya mpya, yellow bus old model isuzu npr ama nqr 4.3, zingine zote za grey ni isuzu fvz za miguu kumi za mchanga. I know them all by ride height and chasis width dont ask how.

One year…? Mulosi…Kwa ground things are different. Kwa karatasi hesabu ni mzuri sana but itsa fantasy tu.
Unapata you have FH but no business. Unajipata sasa hio ndio yako yakuenda sherehe. Unaipack nje ya klabu, unapata ndio ya kupeleka bibi out…Hehe…One month kabla ikwishe ushaiekelea mbao ya for sale…

Owning that FVZ truck was quite lucrative a few years ago. But the ban sand on sand harvesting in parts of Ukambani and Kajiado has affected profits enormously

that is why the new shape is being sold at 10 million and with a deposit of 320,000 you get one and repay in 5 years. As we speak only the strong business men got their log books for kcg and kcl models this year, put in mind those were model za 2017 tried and tested.

:D:D:D

Whereas the payment seems longer, it might be difficult to repay the loan on time. Bank can easily reposses it. I have not interacted with the new model though.

you work at Isuzu?