Now This is a meal
[ATTACH=full]7198[/ATTACH]
[ATTACH=full]7199[/ATTACH]
Now This is a meal
[ATTACH=full]7198[/ATTACH]
[ATTACH=full]7199[/ATTACH]
Naona kuna bike apo kando kumbe ata wewe ni mtu wa cheki maneno
na una macho kweli
hapana mwenyewe, kwanza leo niko sabina joy mbaya, naandalia mapoko bash
Chali yetu ameenda job kwa hoteli za wenyewe sasa kazi ni kupiga picha za breakfast sasa.Hii ni hujuma sasa.
nimeitwa nairobi za juu nakubali sijawahi ona karamu kama hii, lazima picha nipige
msalimu sana Vivian ukimwona, ukimkosa basi judy, ukimkosa judy basi lucy ukimkosa lucy basi ann, ukimkosa ann stacy, ukimkosa stacy zippy, ukimkosa zippy Maryanne, ukimkosa Maryanne betty…ukiwakosa hawa basi hiyo sio sj
sawa sawa watasalimu tarimbo langu
Where is this?
Karen Blixen lakini hii ilikua pre ordered sijui kama iko kwa menu
mmmh
Boss, hizi chakula zote kwa mpigo. Siutahara ujisahau.
Waah. Una mapoko kwa speed dial nini? Inafaa uwe pimp sasa.
hehehe…no, I cant b a pimp. infact am working towards reforming myself as per @Purr_27 n @Unicorn 's advice
Hehe would have totally missed that bike
Mandazi na kachumbari eti ndio meal…dondo chapo ndio meal
hiyo si mandazi
Najua utazipatia a complicated name to make them seem unusual…