Hangover Circle Mashujaa Edishen

Wasito tuna meza hii pole pole tukiskiza msito Uhunye akisema hakuna mkate nuthu hata slice mojaa…
Naskia Rat wako na parallel rally bondo na omena ndiso sina mount gourd of honour…
@Mundu Mulosi nko area yako weka coordinates
[ATTACH=full]133679[/ATTACH]

kweli ni sikukuu ati niwewe haukuli chrome leo

Tuelezee tofauti kwa kina…both are cheap UDV/EABL products…

Still sober two weeks later enyewe masiwa sii mbaya ! But zile simu napata temptations kibao

Prof. M head wa Naswa Demos umeoga juu ya mashujaa??

one is at the lowest of the rank

leo nina officiate parallel ceremony nyandarua cownty ile baridi iko huku haiwezi ruhusu

Cheza chini …kwani fombe ni Disciplined forces zinapewa rank??

Ungeleta mambo ya cane spirit/gin/vodka…tungeongea

nimekuwa hapo ndunori gwakiongo juzi juzi, baridi iko kweli

I’m tempted by bros kuna pombe mingi kwa boma @Budspencer,Kwan ulifagia Afco mzima?

Mimi natengeneza pesa pole pole

[ATTACH=full]133684[/ATTACH]

Jug Danniels manenoz…

Uko wapi just finished some meeting.

Pea sisi stake

Na watu WA drunk in love,yuongee pie ama?

nko hapa maji mazuri

Kuna bar hapo maji inaitwa millennium ya mmeru fulani kila Sunday nilikua nakula hapo chipo nikitoa lock it’s frequented by some broke Congolese/rwandese who specialize in telling some fake war stories so as to be bought alcoho

lazima niiangalie. kuna nyoka??

Niko huku… Wazito. Happy Mashujaa Day.[ATTACH=full]133701[/ATTACH]

Nop just a decent loco (they sell alcohol during prohibited times) my smoking hoochi loved it…ukishuka stage ya maji iko across hio playing pitch