Handshake in jeopardy

Just realized that the person who cooked the Omena in my favourite joint in Westy is a new employee who comes from the mountain region. The Omena was dry and not tasty. It was overcooked. I refused to board lakini juu njaa karibu iniue I had to eat. The manager has accepted that this is abominable especially for a loyal customer and one whose brother is on the deans list of University of Carlifornia, 260 Aldrich HallI Irvine.

In the spirit of handshake kesho nimepewa free lunch just to cool my displeasure.

Good day.

[ATTACH=full]244365[/ATTACH][ATTACH=full]244364[/ATTACH]

westy wapi specifically

Iko wapi pilipili kali ile ya shamba?

uongo …kama ametoka the mountain region angeweka kathubu

Litre moja

Na vile umefagia plate hata haihitaji kuoshwa Sana…Buda si mtu hubakishia hata paka za pipa banae.

Hapa kuna restauranteur amegongwa. :smiley:

But how come you even licked the plate?

sikulagi hizo samaki za kukuangalia ukizila but i understand your frustration ,tusamaki tumekauka kama ile mgongo wazi:D:D:D:D:D
alafu hio green haina P2 ndani,iko green tu sana ama ni hi 2K HD vision natumia

Na avocado.

Sankara B

Wapi waru

Na kafeshi na waru

Mheshimiwa ,Leo umejaribu kukula balanced diet.

Siwezi kula omena, I would rather starve, liwe liwalo

The trick ni kutupika na pilipili ndio tufunge macho juu ya kuwashwa:D

Na carrots and peas.

Pia Mimi siwezi Kula wadudu.

swanschieth osha tunyanye bila kusumbua

Omena, ugali na skuma… nice to eat once in a while but sio my favorite