uyo thufataa kwa group chat na maboys…ja
/maa moja akapost pic akadai vile uyu mkisii ni mali safi halafu nieasy lay but sio lanye…
kitu ilikuwa imeweza sana,lakini jamaa hakupeana number…na iyo story ikaisha tu ivo
fast forward nikidelet mapicha kwa phone nikapataa na ile ile pic, nikatumia uyo jamaa alipost nikamshow kaka nipe hii kitu dry spell imezidi.
jamaa akanishow bora usinitaje jina utajuwa vile utamshow pale ulitoa number, nikamshow kiswahili yangu ni mambo yote (JUAKALI VOICE)
Nikapewa number na jina yake iyo ingine ni mimi nicheze ki bazengaa…
so nikacheki kama ako whatsapp nikampataa kwanza ako online,
nikaenda online nikatafuta nice panty pictures na ladies open shoes nikamtumia…saying new stock with the best prices we also do delivery…
nika chill reply yake sasa
mrembo… who is this?
sparta…hallo there this is sale manager of SPICE COLLECTION,we deal with ladies wear
Mrembo…where did you get my number?
sparta. sorry if it offended you but we work closely with safaricom and pay them to get all numbers around nairobi area
mrembo…oooh ok
sparta. are you interested?
mrembo . how much are the shoes?
sparta. only 750
mrembo…where is your shop located?
spartaa…(no reply)
mrembo…hallo? where is your shop located?
sparta…(thinking)
sparta…what your shoe size?
mrembo…number 38
spartaa…when you buy at the shop its 750 but l can make a deal u get it by 500ksh
mrembo …(sent emojis) wow really
sparta …yes …by the way whats ur name?
mrembo…ELIZA
sparta…nice am TIMOTHY
mrembo…ok
sparta can l text using my personal number coz this one is for business?
ELIZA…ok
apa sparta akatumia iyo simu ingine sasa kuendeeleza kiswahili:D:D
so the conversation ikaendelea on the other line, l even called her nikamshow shop iko moi avenue,but vile tumeongea nitaipataa na 500, tukachatt for a while hadi nikatumia picha zake…agejuwa picha zake nishaziona
sasa tukaset up date na eliza na lazima nige enda na zile viatu zake, ilibidii nitafute kiatu inakaribia ile nilimtumia kwa picha…
iyo siku nilijuwa easy lay yangu naikamataa kama tennis ball…makobosto zilikuwa tayari
tulimet apo cbd tukaingia club fulani apo ,eliza was looking stunning just like in the pictures.
waiter kufika eliza aka itisha snapp zikaletwa mbili,mimi nikaitisha tusker…eliza alimeza snap zake before nipige sip tatu,akaitisha zingine, apo ndio nigefaa kuona red flags lakini mimi nilijuwa cheenye na unda itaivaa badayee…
sasa the more anameza lugha inachange,akaitisha viatu zake nikampea ata haku notice kama sio zile kwa pic,. kumaliza snapp akashow waiter leta tu guiness
nimechoka nitaendelea