Hakuna haja tena ya kulinganisha KDF na JWTZ

Itakua hatuwatendei haki KDF, tunawadhalilisha kwa kulinganisha mwanajeshi wetu na mtu ambaye pamoja na mafunzo yake, anaweza akabakwa na zombi la mtaani mwendesha pikipiki.
Being raped by a mere bodaboda operator, can you stand up a fight agaiinst Alshabaab.

Ikatokea mnavamiwa na mujehidin bin shetwan wa alshabaab si ndio mtaikimbia nchi.

http://3.bp.blogspot.com/-p9fB6R6c56Y/Vp4KkPE_UcI/AAAAAAAAFkQ/lJ83_2nRjsw/s1600/P1260002.JPG

DEREVA wa wa pikipiki maarufu kama bodaboda,Abuu Ally(22) mkazi wa Dar es salaam,amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Kinondoni akituhumiwa kumbaka askari wa JWTZ kambi ya Kunduchi,jina tunalihifadhi.

Mbele ya Hakimu Jackline Rugemalila,wakili wa serikali,Monica Ndakidemi,alidai kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo Novemba 18 mwaka jana eneo la Kawe Bondeni wilayani Kinondoni.

Ndakidemi alidai kwamba mtuhumiwa alitenda kosa hilo kisha kumsababishia maumivu makali wakati akitambua kwamba ni kinyume cha sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mtuhumiwa alikana kutenda kosa hilo na upelelezi wa shauri hilo bado unaendelea.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 2 mwaka huu na mtuhumiwa alirudishwa mahabusu kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.

Chanzo-Mtanzania

I did not understand anything, but thanx to google;
[I]Drivers of motorcycles popularly known as boda boda , Abu Ally ( 22 ), a resident of Dar es Salaam , has been promoted to dock in Kinondoni district court accused of raping a soldier TPDF camp Kunduchi , we retain the name .

Jackline Rugemalila Before the magistrate , attorney , Monica Ndakidemi , claimed that the accused had committed the offense on November 18 last year Kawe Valley area in Kinondoni District .

Ndakidemi claimed that the accused had committed the offense and causing him severe pain as he realizes that it is against the law of the United Republic of Tanzania .

He denied committing the offense and the investigation of this advice is still ongoing .

The trial was adjourned until February 2 this year and he returned to remand the accused for failing to meet bail conditions .

Source- Tanzanian[/I]

Usjali buda Kasoldier kaMagufuli kalirapiwa ni bodaa

waambie babu…

I really get pissed off by Kenyans who pretend not to understand Kiswahili

To be sincere, mimi ni shule ilinifunza oswahili.dll na osungu.dll. Before that nilikuwa lugha ya mama mbaya sana!!!

I get pissed off when people guess we all understand kiswahili mufti.

Elitism itaua watu. Even basic Swahili??? A total disgrace

I always adress strangers in kiswahili , wait until the know my name, they get annoyed over my language…sorry kwa kukonjolea thread

hao tunawatumia nys

Admin aweke Swahili Forum watu wajifunzi kiswahili

hakuna haja…wa kujifanya wataendelea kujifanya…

Ngeli tatanishi itakuwa ipi? Ile ya kawaida pale katika sehemu ya Hekaya… Ile ngeli ya Ku - Ma?

They think they sound sophisticated when they blabber about their lack of knowledge in Swahili on forums like this.

Kiswahili is a language for arab slaves

Achaneni na ufti hapa… Swala kubwa ni mwanajeshi wa tz kubakwa na msee wa boda. By the way NV, don’t compare kenyan soldiers to tz. They have never gone for war ndo maana wanabakwa. Even the first kenyan-tanzanian war, which was mostly natives backed by their colonisers,they run away and hide in their vast bushy lands.

Has Kenya ever gone to war with TZ? When was that?

I hate pretentious people…kwani you didn’t learn Kiswahili in your primary and secondary education?

[ATTACH=full]39563[/ATTACH]

Back then. When Britain colonised kenya, and German tz.