Haki yetu Admin. KCr irudi!

Naona mmenukisha kitunguu kabisa. Mpaka Equity bank wanaweka advertisement hapa Kwa blog. Tunataka Kula hii Mali pia! KCr irudi:
[ATTACH=full]278302[/ATTACH]

rudi kwa ile kijiji yako ya wazee

Kwa wazee mnapewa mpaka za kununua mapoko.

it’s Adsense, Equity pays Google to advertise online, Google pays ktalk depending on views per page.

Anko si utuwekee thread ya ‘Arsenal itauwa cobra’.

siamini ati Man-utd are the underdogs? bookies wanaona Arteta leo atatetemesha watu…

time bado nangojea homomidget @panyaste anipe go ahead

Uuuuuuuuuuuui. Haki yetu!

If Solsjaer gets his selection and tactics right no way Man Utd be underdogs.
They perform relatively well against big teams shida yao tu ni complacency wakiona team ndogo.
The front three of Rashford, Martial and Greenwood are capable of inflicting serious damage on a very shaky Arsenal defence.