Haikuja na Pombe

Mmedharauliwa tangu kitambo.[ATTACH=full]348400[/ATTACH]

But sikubaliani na hili neno. Pengine “Mlichukiwa” ingekua afadhali.

museveni alichukua migingo sababu ya kuchukia kenya, ama ni sababu ya anaidharau?

I thought you knew some history. The East African Community (EAC) collapsed that very year 1977.

Cc @ChifuMbitika

True