Which should i go for if i need unlimited internet? Your views
Telkom doesn’t have unlimited internet
[ATTACH=full]239317[/ATTACH]
rafiki!! vipi??!
Vipi mzitoh, naona ulishalandi back in da area… Ulikuwa mafichoni wapi?
kabisa! ilibidi nichunge kijana asiseme babake alimlenga. i see new faces all round.
umekuwa salama lakini?
Hai huwa wako na kichaa! Bei zao si za peasants kapsaa!
Iko buda , and its blazing first .
Telkom
[ATTACH=full]239370[/ATTACH]
Sasa tuseme zote zko poa. Shukran watuuu
6gb is not bad, unastream netflix vizuri sana,plus am sure kuna ujanja ya kubypass the fup