Haha aty 19yrs

Walai madem achangeni umaku … leo nimecheka yangu yote… mheeeeeer hehehe kweeeeehehe… ata nimecheka mcheko ya ki nyumbani… aty nadinya kunguru imekunjana hadi uso then inadai iko 19yrs. Saitan makena hii

[MEDIA=giphy]PrGNf7O36heCs[/MEDIA]

:D:D

Alikuona kama fala anaeza believe umeffi. Na mbona unadinya shosh?

The love of your life alikuacha?

:D:D

:D:D:D:D:D… Wewe ni village elder aje na reasoning ya 12-year old

Ivo tu brathe

Imagine kilichapa once ss nmeanza kuhanya

Manga shosho polepole bila panganga mob

:D:D am outta here

:D:D:D:D:D:D a @Mosa we ni mtu spesho. hiyo hekaya si tulikuambia utajua hujui. inakaa MK ULTRA ilichapa

:D:D:D:D

Nimeanza kuamini story zako ady

bora uhai mzeiya. uliponea hapo

Noma sana:D:D:D:D:D:D

Hii GIF ni ya wajinga kama akina Mosa

Haha tutaleft huku

Sante for compliment

boss never ask a kunguru many questions as if you are dating…kama uliona hiyo kitu ni poa na bei utaweza,the rest is nt your problem

Weka bisha, ama post is invalid